Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dkt. Fred Msemwa akizungumza na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo katika Mji wa Kiserikali Mtumba jijini Dodoma Februari mosi, 2026, kuhusu kuanza leo kwa mjadala wa utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050 bungeni Dodoma Wandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo. 
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇