LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 2, 2026

MWAMENGO AMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUPELEKA KASI YA MAENDELEO KYELA


 Mbunge wa Kyela, Baraka Ulimboka Mwamengo akitoa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuijali Kyela kwa kuipatia miradi mbalimbali ya maendeleo, hata hivyo ameiomba serikali kujenga mabwawa yatakayosaidia kuepusha mafuriko lakini pia kutumika katika umwagiliaji wa mashamba jimboni humo.

Ametoa pongezi hizo bungeni Dodoma Januari 30, 2026 alipokuwa akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Samia aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13 Novemba 14, 2025 bungeni Dodoma.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages