LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 24, 2026

MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI RAIS DKT.SAMIA AKIZINDUA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA


Taswira ya Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma mara baada ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 24 Februari, 2026.




Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga light pistol juu kuashiria uzinduzi wa jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma tarehe 24 Februari, 2026.
Rais  na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi bendera Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda.


Akikabidhi ufunguo wa jengo hilo kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo S. Nyansaho.
Akipigiwa wimbo wa Taifa na baadaye kupigwa mizinga.
Akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi.


Baadhi ya waambata wa majeshi wanaoziwakilisha nchi zao nchini.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maafisa Askari, Watumishi wa umma na wageni mbalimbali waliohudhuria uzinduzi












 



No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages