LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 16, 2026

SPIKA ZUNGU AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE LA INDIA



 Spika wa Bunge la India, Mhe. Shri Om Birla amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini New Delhi, wakati wa Mkutano wa 28 wa Maspika na Wenyeviti wa Bunge wa Jumuiya ya Madola unaoendelea nchini India.





 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages