LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 4, 2026

KIJANA MZALENDO KALOVA AOMBA WATANZANIA KUENDELEA KUMUUNGA MKONO RAIS DK. SAMIA

Disemba 31, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, alilihutubia taifa kuuaga mwaka huo na kuukaribisha mwaka mpya huu wa 2026.


Katika hotuba hiyo Rais alieleza kwa ustadi mkubwa taifa lilikotoka, lilipo na linakokwenda.


Alieleza mambo mengi ikiwemo mustakabali wa nchi katika dhima ya kuimarisha amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa akisisiza kujikita kwenye maridhiano.


Kwa jumla wananchi waliipokea hotuba hiyo kwa matumaini makubwa akiwemo kijana mmoja mzalendo Shabani Kalova mkazi wa jijini Dar es Salaam, ambaye aliomba Watanzania hasa vijana kuuunga mlono Rais Dk. Samia ili atekeleze majukumu na ahadi zake kikamilifu.

 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages