Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. 𝗔𝘀𝗵𝗮-𝗿𝗼𝘀𝗲 𝗠𝗶𝗴𝗶𝗿𝗼 anatarajiwa kuanza ziara ya kukutana na kuzungumza na Mabalozi wa Mashina katika kukijenga chama na kuimarisha Uhai wa Jumuiya zake.
Balozi Dkt. Migiro ataanza ziara hiyo siku ya tarehe 07 Januari 2026 kwa kukutana na Mabalozi wa Mashina wa Wilaya ya Temeke na Kigamboni katika ukumbi wa TPA Jijini Dar es salaam.
Kauli mbiu katika ziara hii ni 𝙎𝙝𝙞𝙣𝙖 𝙇𝙖𝙠𝙤 𝙇𝙞𝙣𝙖𝙠𝙪𝙞𝙩𝙖.
#CCMImara
#KaziNaUtuTunasongaMbele

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇