Askofu Mkuu wa Makanisa ya KarmelI Assembilies of God (KAG) Tanzania,Dkt. Evance Chande akiliombea Taifa amani na utulivu katika katika ibada maalumu ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2026 katika Kanisa la KAG Ipagala jijini Dodoma Januari Mosi, 2026.
Katika Ibada hiyo aliwaombea pia vijana, Wakulima, Wafanyabiashara, Wafanyakazi,Wanafunzi, Watoto na Watanzania wote kwa ujumla.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203
Your Ad Spot
Jan 1, 2026
ASKOFU CHANDE ANENA MAKUBWA KULIOMBEA TAIFA
Tags
Dini#
featured#
Share This
About CCM Blog INVITEE
featured
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇