LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 15, 2025

RAIS SAMIA ATUA TANGA KUFUNGUA MKUTANO WA 9 WA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA MAKAMANDA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga kwa ajili ya kufungua mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda, tarehe 15 Desemba, 2025.






 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages