LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 5, 2025

NAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA KUTOA HOTUBA KWA UWAZI, UJASIRI NA UCHUNGU - DKT. MAJULE


 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu wa mkoa huo, Dkt. Neema Majule akitoa neno la pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa hotuba nzuri aliyoitoa kwa Taifa kupitia mkutano na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam Desemba 2, 2025 kwenye Ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam.

Dkt. Majule ametoa pongezi hizo wakati wa Kongamano la Wanawake Tanzania lililokuwa na kauli mbiu ya Mama ni Amani kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Desemba 4, 2025. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages