Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Jumuiya ya Chama Cha Cha Mapinduzi (CCM), Mang'anya Rajabu amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hotuba nzuri iliyosheheni mambo muhimu likiwemo la kuleta maridhiano miongoni mwa Watanzania, aliyoitoa katika ufunguzi wa Bunge la 13 jijini Dodoma Novemba 14, 2025.
Ametoa pongezi hizo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari katika Makao Makuu ya Umoja huo jijini Dodoma leo Novemba 15, 2025.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA- 0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇