LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 21, 2025

RAIS SAMIA KUTUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WA JWTZ MONDULI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na viongozi mbalimbali, tayari kuelekea Arusha ambako kesho, tarehe 22 Novemba, 2025, atatunuku Kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA). 






 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages