LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 14, 2025

RAIS SAMIA KUANZISHA WIZARA MAALUMU YA VIJANA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza vijana wote watakaobainika kwamba walishiriki kwa kufuata mkumbo kwenye vurugu zilizotokea Oktoba 20, 2025, waachiwe huru.

Aidha Dkt. Samia amesema kwa kuwa idadi ya vijana nchini ni zaidi ya asilimia 60, ataanzisha wizara mpya ya vijana ili ijikite kutatua kero na kuwaendeleza vijana.

Ameyasema hayo alipokuwa akihutubia wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13 bungeni Dodoma leo Novemba 14, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13 jijini Dodoma Novemba 14, 2025

Baadhi ya wabunge wakisikiliza kwa makini wakati Dkt. Samia akilihutubia bunge leo.
Baadhi ya makatibu wakuu, manaibu  wa Wizara na viongozi wa taasisi mbalimbali
Sehemu ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini
Waziri Mkuu mpya, Mwigulu Nchemba
Vyombo vya dola



Baadhi ya wabunge



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages