LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 18, 2025

MAWAZIRI WAAPISHWA IKULU CHAMWINO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri/ Manaibu Waziri wa Wizara mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.


Rais Samia akiwa katika picha ya pamoja na mwaziri na manaibu waziri baada ya kuwaapisha Ikulu Dodoma.

Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo 




Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Prof. Riziki Sailas Shemdoe

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Kakurwa.


Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi.
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde.

Profesa Kitila Mkumbo Waziri wa Mipango na Uwekezaji.

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso;
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengelwa
Waziri wa Wanawake na Maendeleo ya Jamii, Dkt. Doroth Gwajima.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda.


IMEANDALIWA NARICHARD MWAIKENDA - 0754264203






 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages