LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 30, 2025

DKT. SAMIA ATETA NA DKT. MIGIRO

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan  akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa chama hicho Balozi Dkt.Asha-Rose Migiro kabla ya kuanza  kwa Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na Wenyeviti wa Halmashauri za miji na wilaya, kilichofanyika Zanzibar tarehe 29 Novemba 2025.



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages