LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 3, 2025

TUNA KILA SABABU YA KUMCHAGUA DKT. SAMIA- KINANA

Katibu Mkuu wa Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amemwagia sifa lukuki Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia  chama hicho kwamba katika kipindi chake cha uongozi wa miaka mitano amefanya kazi kubwa na kwamba matokeo ya kazi yake yanaonekana kila mahali nchini, kila kata, kila wilaya, kila mkoa na mashahidi wazuri wa kazi za Samia si viongozi bali ni wananchi.

Dkt. Kinana ametoa pongezi na sifa hizo alipokaribishwa kutoa salamu katika mkutano wa kampeni za mgombea huyo, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 2, 2025.




 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages