Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipozungumza na kuomba kura kwa Umati wa Wananchi wa Serengeti Mkoani Mara wakati wa Kampeni za uchaguzi Mkuu leo October 10,2025.
Your Ad Spot
Oct 10, 2025
SERENGETI WAMKUBALI DKT SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot





No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇