LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 10, 2025

MAMBO YALIVYOPAMBA MOTO KAMPENI ZA DKT.SAMIA BUTIAMA

 Maelfu ya wananchi wamejitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Mwenge, Butiama mkoani Mara,  kuthibitisha kuwa wao ndiyo waliomlea Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere ambaye ni sehemu muhimu ya waasisi wa ukombozi Taifa hili na uundwaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo leo wamepania kuonesha hadhi hiyo ikiwa ni imani yao kubwa kwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻.


 









HTanzania
 hbbgb b

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages