LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 28, 2025

DKT. SAMIA, VIONGOZI WENGINE WALIVYOTINGA UWANJA WA CCM KIRUMBA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM

 MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dkt Samia Suluhu Hassanna viongozi wengine wakiingia Uwanja wa CCM Kirumba katika mkutano wa kufunga Kampeni za CCM leo Oktoba 28, 2025 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.


Dkt. Samia.
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Asha-Rose Migiro

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, DKT. Doto Biteko
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Steven Wasira na mkewe.
Mgombea Mwenza, Dkt. Emmanuel Nchimbi.
 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages