Sophia Mwakagenda ambaye ni mmoja wa waratibu wa kampeni za CCM Kanda ya Nyanda za Juu Kusini kupitia Umoja wa Wanawake UWT, akifanya kampeni Mbeya Mjini.
Mwakagenda ambaye awali alikuwa Mbunge wa CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, aligombea ubunge Jimbo la Rungwe kupitia CCM na kushika nafasi ya pili.



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇