LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 6, 2025

BALOZI MIGIRO AINGIA MWANZA

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Mapema Leo Tarehe 06/10/2025 amewasili Mkoani Mwanza kwa ajili ya Mapokezi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika 29/10/ 2025 


Dkt Samia atapokelewa Mwanza 07/10/2025 ambapo atazungumza na Wananchi wa Kata Buhongwa akielekea Wilaya ya Misungwi na Badae ataelekea Wilaya ya Sengerema na 08/10/2025 atakuwa na Mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza. 

"KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE"




 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages