Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuulinda Mungano suala la kudumisha amani na utulivu hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025.
Ameyasema leo katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Kajengwa, Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar Septemba 17,2025
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇