LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 18, 2025

KUNAMBI AWANADI WAGOMBEA WA WILAYA YA IRINGA VIJIJINI.

Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC), tarehe 17 Septemba 2025, amemnadi wagombea wa CCM nafasi ya Udiwani kata ya Migori Ndg. Fatma Moge, huku akiwaomba wananchi kumchagua kwa kura nyingi Dkt. Samia Suluhu Hassan na Ndg.William Lukuvi Mgombea wa Ubunge Jimbo la Isimani Wilaya ya Iringa Vijijini, kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29,2025.

Oktoba tunatiki, tunatiki, tunatiki, tunatikiii ✅✅✅







 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages