NMB kwa mafanikio makubwa na kwa namna ambayo imekuwa karibu a biasharta zao na hata kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo yao ya kiuchumi.
Mmoja wa wateja hao, Mhandisi Ralph Makundi alisema mikoppo kutoak Benki ya NMB imempa uwezo wa kufanya kandarasi kubwa na kumjengea uwezo wa kufanya kazi kubwa katika miundombinu ya nchi.
Alisema yeye ni miongoni mwa watu walionufaika na benki hiyo akieleza kuwa wakati anaanza kukopa Kampuni yake ya ujenzi ilikuwa ya daraja la sita lakini kwa sasa iko daraja la kwanza.

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇