Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na maelfu ya wananchi wa Dakawa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro waliofurika kwenye Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Agosti 30, 2025.

.



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇