Mgombea mwenza wa Kiti cha Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akiwasalimia wananchi wa Kisesa na Nyanguge wilayani Magu leo Jumamosi Agosti 30,2025 wakati akielekea mkoani Mara kuendelea na kampeni zake eneo la kanda ya Ziwa ikiwa ni baada ya kumaliza mkoa wa Mwanza.
Your Ad Spot
Aug 30, 2025
WAFURIKA MKUTANO WA KAMPENI WA MGOMBEA MWENZA WA URAIS DKT. NCHIMBI
Tags
featured#
siasa#
Share This
About CCM Blog INVITEE
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot











No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇