LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 2, 2025

WANAFUNZI SHULE YA MUUNGANO WALIVYOTINGA BUNGENI

Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Muungano ya Dar es Salaam wakiwa mbele ya Jengo la Bunge jijini Dodoma walipotembelea bunge hilo Juni 18, 2025.

Walitambulishwa ndani ya Bunge na Mwenyekiti wa Bunge, Deodatus Mwanyika.Wakiwa bungeni walijifunza mwenendo wa Bunge, historia ya Bunge na mambo mengi yahusuyo Bunge hilo lakini pia wanafunzi wa shule hiyo walipata wasaa wa kuuliza maswali kwa maafisa wa Bunge waliokuwa wakitoa mafunzo walipokaribishwa kwenye Ukumbi wa zamani wa Bunge wa Pius Msekwa.

Wakiwa ndani ya Bunge.
Wakipiga Picha  mbele ya lango kuu la kuingilia ndani ya Bunge na Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene. Pamoja na Mbunge wa Morogoro Mashariki, Hamis Taletale.




 Wakiangalia maji tiririka mbele ya jengo la Bunge.

ANGALIA SHULE HIYO IKITAMBULISHWA...

                                                 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages