LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 3, 2025

MSOMI KUTOKA UDSM ACHUKUA FOMU KUMKABLI RASHID SHANGAZI JIMBO LA MLALO

 

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Amiri Mkufya maarufu kama AMESCO, ni miongoni mwa watia nia Jimbo la Mlalo, ambaye naye amechukua fomu kwa ajili ya kumkabili Mbunge wa sasa Rashid Shangazi.

Pamoja na kuwa kada, Mkufya pia ni mshindi wa tuzo za Young CEO Round table Africa, Mchumi na msomi kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages