Jul 3, 2025

RAIS SAMIA AMEFANYA MAKUBWA MKOA WA KATAVI - RC MRINDOKO


Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwamvua Mrindoko akizungumza na waandishi wa habari katika Idara ya Habari jijini Dodoma Julai 3, 2025, kuhusu mafanikio lukuki yaliyopatikana mkoani kwake wakati wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.


 Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwamvua Mrindoko kuzungumza na waandishi wa habari 

Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages