A
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Kiongozi wa Kanisa la Arise & Shine Mtume Boniface Mwamposa, baada ya kuwasili kuzindua Hema jipya la Ibada la Kanisa hilo, eneo la Tanganyika Packers, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua Hema jipya la Ibada la Arise & Shine, eneo la Tanganyika Packers, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akizindua Hema jipya la Ibada la Arise & Shine, eneo la Tanganyika Packers, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na MwamposaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akizungumza baada ya kuzindua Hema jipya la Ibada la Arise & Shine, eneo la Tanganyika Packers, Kawe Jijini Dar es Salaam, leo.











No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇