LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 5, 2025

ALHAJ DK. MZIMBIRI AKABIDHIWA TUZO YA MSHINDI WA TAFITI ZA KANSA

Waziri wa Afya Jenista Mhagama akimkabidhi tuzo Alhaj Dk Mzimbiri ambaye aliibuka mshindi wa tuzo za Tafiti za Kansa. hafla hiyo ilifanyika  Hospitali ya Shifaa iliyopo jijini Dar es Salaam, hivi karibuni.

Alhaj Dk. Mzimbiri ambaye amesomea taaluma yake nchini China, India na Marekani mbali na tafiti za kansa amekuwa akitia elimu kuhusu ugonjwa huo kwa kuendesha vipindi  vya afya katika vyombo vya Habari vya kitaifa na kimataifa kama Azam Tv, BBC na televisheni ya Umoja wa Mataifa (UN Tv). 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages