LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 10, 2025

MAMA ANNA MKAPA, JANETH MAGUFULI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE SABASABA


 Mama Anna Mkapa - Mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa (katikati) na Mama Janeth Magufuli - Mjane wa  aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wametembelea Banda la Bunge katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Sabasaba  jijini Dar es Salaam Julai 9, 2025.

Anayetoa maelezo ni Afisa Habari wa Bunge, Patson Sobha.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages