Mbunge wa Nyang'wale, Hussein Amar ameitaka serikali kukamilisha ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi jimboni humo amacho ujenzi wake umesimama kwa takribani miaka minne sasa.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRIBLOG YA TAIFA YA CCM0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇