Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleoya Makazi, Deogratius Ndejembi akiwasilisha maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Shirika la Nyumba laTaifa wa Mwaka 2025 [The National Housing Corporation (Amendment) Bill, 2025]. Muswada huo umepitishwa Juni 9, 2025 bungeni Dodoma.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇