Jun 14, 2025

RAIS SAMIA, RAIS WA AFDB WAKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti tofauti ya picha alipotembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko wa Nje Dodoma (Outer Ring Road) yenye urefu wa Km 112.3 kutoka Mtumba - Veyula - Msalato wakati wa ziara yake Mkoani humo leo Juni 14,2025.






 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages