Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato Mkoani Dodoma wakati wa ziara yake Mkoani humo leo Juni 14,2025.
Katika ziara hiyo Rais SAMIA aliambatana na Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika, Dkt. Akinwumi Adesina.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇