Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Chama na Serikali, mara baada ya kuzindua Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, mjini Bariadi,Juni 16, 2025. Kutoka kushoto pichani ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emanuel Nchimbi,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh Mohamed Mchengerwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Ndugu Kenai Laban Kihongosi.Dkt. Samia akizindua jengo hilo.
Jun 17, 2025
RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA DKT. NCHIMBI, MCHENGERWA NA RC KIHONGOSI
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About Blog Updates👇🏻
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇