
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza akipongezwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba baada ya kuwasilisha vyema taarifa ya kamati hiyo bungeni Dodoma Juni 16,2025, kuhusu hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024. Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 na Tathmini ya Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2024/2025 pamoja na mapendekezo ya makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2025/2026.
Hapa akipewa mkono wa pongezi na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwezeshaji, Prof. Kitilla Mkumbo.
Akipongezwa na Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande
Njeza ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Vijijini, akiwasilisha taarifa hiyo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇