Jun 2, 2025

MAFUNZO YA KILIMO CHA VITUNGUU JKT YAMLIPIA ADA CHUO KIKUU


 Mwanafunzi wa mwaka wa pili wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye kwa mujibu wa sheria baada ya kumaliza kidato cha sita na kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) akielezea jinsi alivyonufaika na mafunzo ya kilimo na baada ya kuhitimu ameanzisha shamba la vitunguu na mauzo yake yamesaidia kulipia ada chuoni hapo.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages