Jun 4, 2025

FEDHA ZATENGWA UJENZI WA BARABARA YA RAMADHAN - IYAI NJOMBE

 


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika ameihoji Serikali bungeni Dodoma Juni 4, 2025 kwamba ni lini itapata fedha ili ujenzi wake ukamilike. Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi, Godfrey Kasekenya amejibu kuwa barabara hiyo tayari imetengewa fedha kwatika bajeti ijayo.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages