Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ambaye ni Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika akiwasilisha Taarifa ya kamati hiyo kuhusu makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026 bungeni Dodoma Mei 21, 2025.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇