Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameitaka serikali kumuamuru mkandarasi kuanza tena mara moja ujenzi wa barabara ya Itoni - Lusitu kwa kwa vile tayari ameshalipwa fedha. Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Mei 2025, mbapo Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasenyenda ametoa maelekezo kwa Meneja wa Wakala wa Barabara Mkoa (TANROADS) wa Njombe kumuamuru mkandarasi huyo kuanza mara moja ujenzi huo.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇