
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe (kushoto) akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda (wa pili kushoto), Mnadhimu Mkuu wa Jeshi, Luteni Jenerali Salum Haji Othman (Wa pili kulia) na Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabe. Wakiwa wamesimama wakati Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackoni akiomba dua wakati wa kikao ambapo baadaye ulifuatiwa mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara hiyo bungeni Dodoma Mei 20, 2025.Baadhi ya maafisa waandamizi wa majeshi wakiwa bungeni tayari kufuatilia mwenendo wa Bajeti yao. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇