Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, akipata maelezo kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, utakaofanyika tarehe 29 na 30 Mei 2025, jijini Dodoma, jana Mei 24, 2025. Pamoja naye ni Wajumbe wa Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM.Muonekano wa Ukumbi huo.
Your Ad Spot
May 24, 2025
Home
featured
siasa
KATIBU MKUU WA CCM BALOZI DK. NCHIMBI AKAGUA UKUMBI UTAKAKOFANYIKA MKUTANO MKUU WA CCM JIJINI DODOMA
KATIBU MKUU WA CCM BALOZI DK. NCHIMBI AKAGUA UKUMBI UTAKAKOFANYIKA MKUTANO MKUU WA CCM JIJINI DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇