Mwenyekiti wa Chama
cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali
kwenye Mkutano Maalum wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa
Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 29 Mei,2025.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia kabla ya kufungua Mkutano Maalum wa Chama hicho
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇