May 24, 2025

BALOZI NCHIMBI AKAGUA MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na Wajumbe wa Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC), leo Jumamosi, tarehe 30 Mei 2025, amekagua Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, utakaofanyika tarehe 29 na 30 Mei 2025, jijini Dodoma.



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages