Apr 14, 2025

VIONGOZI WA CCM KATIKA PICHA YA PAMOJA WALIPOKUTANA ZANZIBAR

 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, walipokutana Ikulu Zanzibar leo Jumatatu, tarehe 14 Aprili 2025. Mwingine pichani ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Said Mohamed Dimwa.

  

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages