Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunua bango kuzindua Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania yaliyopo Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania yaliyopo Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho ya masuala ya kilimo nje ya Ukumbi wa Mikutano Jakaya Kikwete mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania, Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi pamoja na wageni mbalimbali zlipowasili kuzindua Benki ya Ushirika Tanzania katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇