Apr 22, 2025

KAPUFI AZIDI KUWAPAMBANIA WANA MPANDA MJINI

 Serikali imekubali ombi la Mbunge wa Mpanda mjini, Sebastian Kapufi kusaidia ujenzi wa uzio katika shule za Mbanda Day na Mwangaza kuunga mkono nguvu za Halmashauri.

Naibu Waziri Ofisi Raia, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainabu Katimba alilikubali ombi hilo kwa niaba ya serikali.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI
 BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages