Waumini wa Kanisa la Karmel Asembilies of God (KAG), wakiongozwa na Askofu wa kanisa hilo, Evance Chande wamefanya usafi wa mazingira na kupanda miti kanisani, eneo la ofisi ya Afisa Mtendaji Kata na Kituo cha Afya cha Ilazo jijini Dodoma Aprili 14, 2025, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha kusimikwa rasmi uaskofu Dkt. Chande Aprili 19, 2025.
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Ipagala, akipanda mti aina ya mchungwa.
Baadhi ya waumini na wananchi wakifurahia kitendo hicho.
IMEANDALIWA NA
RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇