LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 6, 2025

MAMLAKA YA MAJI BUNDA WAJIVUNIA MAFANIKIO AWAMU YA RAIS SAMIA


 Esther Gilyoma Mkurugenzi Mtendaji Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira akizungumza na waandishi wa habari  katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Machi 6, 2025, kuhusu mafanikio ya Mamlaka hiyo katika miaka minne ya ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa neno la shukrani la kuhitimisha mkutano huo.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages